Financial OS for MSMEs

CHUKUA

KONTROL

LEO!

TAKE CONTROL. GROW YOUR BUSINESS.

Simamia biashara yako kwa data, control na growth. FaidaFlow ni mfumo wa kusimamia fedha na kuendesha biashara yako kwa mafanikio.

J
A
M
S
1,000+ Biashara
Zinazotumia FaidaFlow Tanzania

Trusted by businesses across Tanzania

KILIMO SMARTNYOTA STORESBORA FASHIONSZAIDI SUPPLIERSJENZI PROMWANGA TECH
FaidaFlow
Juma Store
J
Overview
Cash Flow
Transactions
Customers
Reports
Settings
Overview
Total Revenue
TZS 15.7M
+12.5%
Total Expenses
TZS 3.2M
+8.7%
Net Profit
TZS 12.4M
+18.7%
Cash Balance
TZS 8.6M
+5.9%
Cash Flow Trend
Expenses by Category
Stock45%
Usafiri22%
Malipo16%
Mengineyo17%
Tatizo

Je, Unakabiliwa na Hali Hizi?

Wengi wa wafanyabiashara wadogo Tanzania wanakabiliwa na changamoto hizi kila siku.

Kumbukumbu za Karatasi

Unaandika mapato na matumizi kwenye daftari — lakini unapoteza data au kusahau kuandika.

1

Hujui Faida Yako

Mwisho wa mwezi hujui kama biashara yako inafanya faida au hasara — nambari haziko wazi.

2

Maamuzi Bila Data

Unafanya maamuzi ya biashara bila taarifa sahihi — hii inaweza kusababisha hasara kubwa.

3
Suluhisho

FaidaFlow Inakusaidia Jinsi Hii

Mfumo wetu rahisi na wenye nguvu unakupa zana zote unazohitaji kukua biashara yako.

ONA PESA ZAKO
Your Money

Angalia mapato, matumizi, na salio lako kwa wakati halisi. Kila shilingi inafuatiliwa.

DIBITI BIASHARA YAKO
Your Business

Simamia wateja, ankara, na hesabu za biashara yako yote mahali pamoja.

ONGEZA FAIDA YAKO
Increase Profit

Pata ripoti za kina na mwelekeo wa faida. Jua wapi kupunguza matumizi na kuongeza mapato.

CHUKUA KONTROL LEO
Take Control Today

Fanya maamuzi ya biashara kwa ujasiri. Data sahihi, maamuzi bora, biashara endelevu.

Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua 3 rahisi kukudhibiti biashara yako.

01

Weka Taarifa

Ongeza mapato, matumizi na taarifa za biashara yako.

02

Fuatilia Utendaji

Angalia ripoti, grafu na mwenendo wa biashara yako.

03

Kukua Biashara

Pata maarifa bora, fanya maamuzi na ongeza faida.

Anza Sasa — Ni Bure!
Bila kadi ya mkopo · Setup Ndani ya Dakika
Jisajili Bure →